Mtandao wa Wikipedia unafahamika kuwa mtandao wa kuelimisha watu kuhusu mambo kadhaa ikiwemo kuhusu historia na mambo ya watu watajika.
Katika kueleza biografia ya waziri wa hivi karibuni Ole Lenku, wikipedia imemuaibisha kuwa ni mpishi wa kawaida ambaye amepewa cheo hadi kuwa waziri.
Kabla biografia kujeuzwa kwa haraka, kuna jamaa ambaye aliweza kupata screenshot zikimueleza waziri huyo kwa dharau huku zikimuaibisha waziri Ole Lenku vibaya.
Hebu cheki mwenyewe...
Jombi waziri mwenyewe huyu hapa
Wakubaliana Wikipedia imetoa haki hapa?

Wikipedia Yaidharau Serikali Ya Kenya Pamoja Na Mawaziri Wake, Yamuabisha Mmoja Kuwa Ni Mpishi
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Sunday, May 18, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano