Baada Ya Askari Linda Okello Kuaminika Kuwa Na Makalio Makubwa Katika Ulinzi, Sasa Kutana Na Polisi Mrembo Zaidi Nairobi
Kwa muda sasa Linda Okello amekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii kwa kuwa na makalio makubwa zaidi katika sekta ya polisi, lakini sahizi tunavyoongea kumejitokeza mwanadada ambaye ni mlinzi wa rais Uhuru Kenyatta na ni ambae anaaminika kuwa mrembo zaidi ya wote.
Brenda Wanjiru ameweza kumulikwa na mtandao wa Nairobi Exposed na picha exclusive za polisi huyu mwenye mtoto mmoja zimeweza kuzagaa kwa mitandao ya kijamii.
Cheki picha zenyewe:
Brenda Wanjiru ameweza kumulikwa na mtandao wa Nairobi Exposed na picha exclusive za polisi huyu mwenye mtoto mmoja zimeweza kuzagaa kwa mitandao ya kijamii.
Cheki picha zenyewe:
Hapo vipi?
Baada Ya Askari Linda Okello Kuaminika Kuwa Na Makalio Makubwa Katika Ulinzi, Sasa Kutana Na Polisi Mrembo Zaidi Nairobi
Reviewed by Admin
on
Wednesday, May 28, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano