Unordered List

Definition List

Alichokisema Jaguar Baada Ya Prezzo Kutaka Kumaliza Bifu La Wao Wawili

 
Jaguar na Prezzo bila shaka ni mastaa wakulengwa kwa manati Afrika Mashariki lakini je mbona wana tofautiana kila wakati?

Kutatua swala hilo, rais wa rap nchini Kenya Prezzo aliamua kutatua ugomvi wake na Jaguar kupitia mahojiano yake na AyoTV, lakini Jaguar alikubali maitiko ya Prezzo?

Kulingana na duru zilizorushwa kwa mitandao inasemekana Jaguar alikataa kamwe kukubali kuacha bifu lake na Prezzo huku akidai kuwa Prezzo yuko mbioni kutaka kuurudisha umaarufu wake alioupoteza. Jaguar aliongeza kuwa hio itakuwa ndoto kama yeye angeweza kuacha bifu lake na Prezzo.

So hilo jibu la Jaguar walionaje? Mashabiki wa Twitter walimuingia Jaguar na kudai kuwa ukosefu wake wa masomo ndio tatizo lake kuu kwani kama angekuwa mjanja kiakili angeweza kuitupilia mbali stori na mabifu ya kijinga.
Alichokisema Jaguar Baada Ya Prezzo Kutaka Kumaliza Bifu La Wao Wawili Alichokisema Jaguar Baada Ya Prezzo Kutaka Kumaliza Bifu La Wao Wawili Reviewed by BkuHabari Admin on Thursday, May 15, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.