Shah Rukh Khan ni staa maarufu ulimwenguni katika sinema za kihindi za Nollywood. Na sahizi ametajwa kuwa mwigizaji wa pili tajiri ulimwenguni baada ya kumshinda Tom Cruise mwaka wa 2013.
Kulingana na ripoti, Khan anautajiri wa Tshs. 72 bilioni kufikia mwaka jana hivyo kutajwa actor wa pili tajiri ulimwenguni.
Staa huyu mwenye umri wa miaka 48 anamiliki nyumba Mumbai na pia London.
Mikwanja hii yote imetokana na kampuni ya Pepsi, Nokia na TAG Heuer.
Shah Rukh Khan Atajwa Kuwa Mwigizaji Wa Pili Tajiri Ulimwenguni
Reviewed by Admin
on
Saturday, May 31, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano