Unordered List

Definition List

Picha: Raila Odinga Akimla Mate Mke Wake Hadharani

Aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga alinaswa katika kamera akimla mate mkewe Ida Odinga wakati alipomtembelea nchini Marekani.

Tukio hili lilijiri siku ya Mothers Day ambapo mwanasiasa huyu alimpokea kwa shangwe na furaha bibi yake. Sina uhakika kama tukio hili lilichangiwa na baada ya picha 7 za rais Uhuru Kenyatta zikimuonyesha akimpapasa mkewe hadharani kuwekwa hadharani.


Waonaje hio picha? Si vibaya kusema Raila Odinga kando na kuwa ng'ang'ari kisiasa ana ustadi mwingine ajab!
Picha: Raila Odinga Akimla Mate Mke Wake Hadharani Picha: Raila Odinga Akimla Mate Mke Wake Hadharani Reviewed by BkuHabari Admin on Thursday, May 15, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.