Unordered List

Definition List

Picha 7 Za Kimahaba Zikimuonyesha rais Uhuru Kenyatta 'Akimpapasa' Mke Wake Hadharani

Rais Uhuru Kenyatta ni rais wa nne nchini Kenya na hakujawahi kutokea rais kama huyo awali. Uhuru Kenyatta ni mtu ambaye yuko wazi kuhusiana na maswala yake ya nyumbani na pia katika mambo ambayo yanahusiana na wananchi wake.

Rais huyu asiyekuwa na sifa ya kuficha hisia zake ameweza kunaswa katika matukio kadhaa akiwa na mpenzi wake katika mapozi ya kimahaba.

Cheki picha zilizokusanywa zikimuonyesha Uhuru Kenyatta katika mapozi ya kimahaba na bibi yake.

Picha 7 Za Kimahaba Zikimuonyesha rais Uhuru Kenyatta 'Akimpapasa' Mke Wake Hadharani Picha 7 Za Kimahaba Zikimuonyesha rais Uhuru Kenyatta 'Akimpapasa' Mke Wake Hadharani Reviewed by BkuHabari Admin on Tuesday, May 13, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.