Haijulikani kama Nicki Minaj ana mahusiano ya kimapenzi na Safaree Samuel ama la.
Lakini kile tunachojua ni kuwa staa huyu wa 'Star Ship' ametoa ngoma mpya.
Siku ya jana Jumatatno Nicki Minaj akihojiwa na Ryan Seacrest radio shoo aliweza kurusha nyimbo mpya kwa jina 'Pills and Drugs' na ameongezea kuwa ngoma hio inaongea kuhusu mapenzi yaliyoenda mrama.
Katika mahojiano yake Nicki alisema kuwa maisha ya watu hupitia panda shuka nyingi hivyo kuwabadilisha tabia.
Hivi ndivyo alivyodai:
"I started realizing how much things have changed, how much people change. And how people come in and out of your life, Minaj alisema. "I’ve just been reflecting a lot. I love that it has that feeling of ‘No matter what, I still love. There’s still love there.'"
Nikki pia aliongezea kuwa albamu yake mpya ya "The Pink Print," itazinduliwa mwakani. Amedai kuwa albamu yake mpya inafanyiwa ukarabati kiasi.
Kuhusu kufanya kolabo na Drake, Nicki amedai kuwa hapo hawezi kugusia kwani albamu yenyewe haijatangazwa official.
Hebu isikilize audio yake hapo ya hii single hapo chini

Artwork ya single ya Pills and Drugs |

Nicki Minaj Atoa Nyimbo Latest, Kuwa Wa Kwanza Kuisikiliza
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Thursday, May 22, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano