Baada ya tetesi kuwa Huddah Monroe amekuwa tambara bovu, sasa staa huyu wa Big Brother Africa anauonyesha ulimwengu kuwa anaimiliki gemu nzima.
Wiki iliopita staa huyu alirusha picha akiwa na Raila Jnr. na sasa mwanadada huyu amerusha picha akiwa amepozi na Davido.
Mtamweza wapi? Cheki picha yenyewe:
Huddah Monroe Apiga Pozi Na Davido
Reviewed by Admin
on
Thursday, May 29, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano