Unordered List

Definition List

Jackline Wolper: Sijawahi Kulizwa Na Mapenzi

STAA wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa tangu aanze kujihusisha na masuala ya mapenzi hajawahi kulia.

Jackline Wolper
Akizungumza na mwanahabari wetu, Wolper ambaye ana muonekano wa ‘kigumu’, alisema siku zote anaamini katika kupambana hivyo hawezi kumlilia mwanaume hata iweje.
“Sijawahi kulia pale nilipoachwa wala kuachana na mwanaume, akili yangu yote inaamini katika kutafuta maisha hivyo siwezi kujirahisisha nikamwaga machozi kwa ishu za mapenzi,” alisema Wolper.
Jackline Wolper: Sijawahi Kulizwa Na Mapenzi Jackline Wolper: Sijawahi Kulizwa Na Mapenzi Reviewed by BkuHabari Admin on Thursday, May 15, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.