Unordered List

Definition List

Picha Za Wema Sepetu Amenyoa Kipara!!!

Mwanadada Wema Sepetu ameamua kunyoa kipara!!

Huu ndio mwonekano mpya wa mwanadada huyu ambaye ni mwendeshaji kipindi cha 'In My Shoe' na pia ni mpenziwe Diamond Platinumz.

Cheki baadhi ya picha zilizotufikia kwa mtandao wetu wa bkuHABARI.

 

Mwonekano huu mpya wa mwanadada huyu wauonaje?
Picha Za Wema Sepetu Amenyoa Kipara!!! Picha Za Wema Sepetu Amenyoa Kipara!!! Reviewed by Admin on Tuesday, March 18, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.