Unordered List

Definition List

Flora Mvungi Alizwa Na Vibaka

STAA wa sinema za Kibongo, Flora Mvungi  ameeleza masikitiko yake baada ya kuibiwa na vibaka.
http://api.ning.com/files/72Jod1iYAGFFYlhWrYV0Q9kQ-E*v4p27FCQNYNQfL0ObpgmWpt7IMbH8ISGZQir0FyODd0W8siGLpuBVpbNa4hAvLYjFsGw0/KIOOGARI.jpg
Kioo kilichovunjwa

Akizungumza na paparazi flani, Flora alisema siku ya tukio mumewe H. Baba alitoka na gari lake aina ya Toyota I.S.T kwenda mtaa wa Lumumba-Kariakoo, akapaki na kuingia kwenye mizunguko yake lakini aliporejea alishtuka baada ya kukuta kioo kimevunjwa na vitu vilivyokuwemo ndani kuibiwa.

“Vibaka hawana maana wameiba laptop na vitu kibao vidogovidogo ikiwemo flash iliyokuwa na nyimbo tano za mume wangu na wimbo mmojawapo umeshavuja unaitwa Tubebane aliomshirikisha Mellon, inauma sana,” alisema Flora.
Flora Mvungi Alizwa Na Vibaka Flora Mvungi Alizwa Na Vibaka Reviewed by Admin on Monday, March 24, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.