Unordered List

Definition List

Profesa J Hajui Maana Ya Bifu, Anahitaji Darasa La Baby Madaha

Kile alichokisema Baby Madaha kuwa wasanii wa Bongo hawajui maana ya bifu naona kasema jambo la kweli. Ashirio moja kuhakikisha madai haya ni msanii wa Bongo fleva Profesa J kuingia katika mtandao wake wa Facebook na kutoa mfano wa utisho kwa wale walio na bifu na yeye.

Katika akaunti yake ya Facebook msanii huyu aliweka maneno haya: "Sina BEEF na msanii yeyote, mtangazaji yeyote wala media yeyote. ...ila nasikia kuna watu wanatangaza kuwa wana beef na mimi. .. GOD nisamehe wasije kunilaumu niki REACT!!!! Coz enough is enough!!"

Ok sasa vitisho kama hivi anamtolea nani? Hata kama anajiona kuwa yeye ni staa vitisho kama hivi haviwezi kumsaidia kwani mashabiki wake ndio waliomueka pale alipo sasa.

Naona angeingizwa katika darasa la Baby Madaha afundishwa maana na umuhimu wa neno bifu.

Cheki Baadhi Ya Bifu za Wasanii Wa Bongo

Bifu kati ya Shilole na Wema Sepetu
Bifu la Clouds Media na Lady Jay Dee
Bifu la Mwana FA na Hermy B
Bifu la Diamond Platinumz na Baby Madaha
Bifu la Bonge La Nyau Na Diamond Platinumz
Bifu la Wema Sepetu Na Naima
Bifu la Jokate Na Wema Sepetu
Profesa J Hajui Maana Ya Bifu, Anahitaji Darasa La Baby Madaha Profesa J Hajui Maana Ya Bifu, Anahitaji Darasa La Baby Madaha Reviewed by Admin on Tuesday, March 25, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.