Unordered List

Definition List

Diamond Platinumz: Nianze Kufyatua Kopy Zangu Au Muda Bado???

Hivi karibuni Wema Sepetu alifunguka kuwa anatamani kuwa na mtoto kinaya cha baadhi ya blogs zilizokuwa na madai na uhakika kuwa Wema Sepetu alikuwa mja mzito. Lakini kila siku inavyosonga ndivyo mambo ya wawili hawa Diamond na Wema Sepetu yanazidi kujulikana.

Katika akaunti yake ya Instagram Diamond alifunguka na kuuliza kama wakati wake wa kutoa kopy yake imewadia ama bado wakati upo?

Diamond alikuwa katika sherehe ya 40 ya kumtoa mtoto wa Bwana Moze na bi. Mwengi. Round hii Diamond hakurusha video ikimuonyesha akizirusha densi za kiswazi bali picha tu.

Katika picha yenyewe Diamond aliweza kuambatanisha maneno haya: Tunamtoa mtoto wetu mwingine toka kwa bwana #Moze_Iyobo na bi #Mwengi.... Eeh! Mwenyezi Mungu, wajaalie na hawa vijana wawili walio baki @emma_platnum na @tonser66wamalize haraka nao, ili Mtu mzima sasa nianze kufyatua copy zangu ��.. �������� au mda wangu Bado???

Diamond Platinumz: Nianze Kufyatua Kopy Zangu Au Muda Bado??? Diamond Platinumz: Nianze Kufyatua Kopy Zangu Au Muda Bado??? Reviewed by Admin on Tuesday, March 25, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.