Unordered List

Definition List

Video Za Justin Bieber Akipimwa Mikojo Zimeachiliwa

Kulingana na picha na video zinazoachiliwa na Miami Police Department, Inaonyesha si mbali tutaona picha za nyeti za staa huyu.

Hivi juzi picha za Justin Bieber zilizokuwa zikimuonyesha viungo vyake vya mwili ziliachiliwa

Kulingana na video zilizotolewa na polisi wa kituo hicho, wanaonya video hizo zina sehemu nyingine zikionyesha nyeti za msanii huyu lakini zimefichwa zisionekane.

Katika video hapo tunaonyeshwa Justin Bieber kwa madakika halafu anatakiwa kupimwa mikojo...baadaye polisi wanadai kuwa staa huyu ametest positive kwa kutumia bangi na Xanax.

Mastaa wengi washawahi kushikwa na madawa ya kulevya, lakini kwa staa huyu imepita mipaka...

cheki video zenyewe hapo chini:








Video Za Justin Bieber Akipimwa Mikojo Zimeachiliwa Video Za Justin Bieber Akipimwa Mikojo Zimeachiliwa Reviewed by Admin on Thursday, March 06, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.