Baada ya baadhi ya makasisi kujitokeza wazi na kujiunga ili kufungua kanisa la mashoga, mswada wao huo umefaulu.
Kulingana na mtandao wa Nairobi Exposed, uliweza kufanya juu chini na kupekua nje hadi ndani na kupata ukweli wa swala hili zima la mashoga....IMETISHA!!!
Inasemekana kuwa Nairobi na Kenya kwa ujumla kuna mashoga zaidi ya milioni moja, wengine wameamua kujitambulisha wazi huku wengine wakiamua kujificha ndani kwa ndani ili wasijulikane.
Uchunguzi uliofanywa na mtandao huo umebainisha kuwa baada ya makasisi na mapasta kujitokeza kufungua kanisa la mashoga, sasa kanisa hilo limefunguliwa rasmi na muda si mrefu wameamua kuwa wataanza kueneza mambo yao kweupe huku wakilenga shule za sekondari za mabweni.
Hili ni janga kubwa la kitaifa nchini Kenya ikiaminika kuwa kati ya wanaume kumi jijini Nairobi, wawili aidha ni mashoga ama wanahusishwa na ushoga. Hivi mwaka jana pekee kuna picha zilizovuja kwa mtandao zikiwaonyesha mashoga wakisherehekea krismasi kimtindo.
Swala kuu la kufungua kanisa la mashoga jijini Nairobi ni kuwa wanadai kuwa mashoga hawapewi uhuru wa kuabudu na wakienda makanisa ya kawaida wataonekana kama viumbe visivyokuwa na haki ya kuishi. "Mashoga wametengwa kutoka jamii na wanaonekana kama haramu, ukweli ni kuwa mashoga ni binadamu kama mwingine ambaye anamuamini mungu...mbona kwanini tusikubalike? Shoga hawezi kuingia kanisa la kawaida na kuonekana kama mtu wa kawaida na utaangaliwa na macho mabaya. Imetubidi kujitengenezea sehemu yetu wenyewe ambayo tutakuwa tukiabudu bila wasiwasi wowote na mungu wetu..." Jamaa ambaye amekubali ushoga aliuambia mtandao huo.
Nchini Uganda ushoga umepigwa marufuku na atakayepatikana atahukumiwa kifungo cha miaka 14 na maisha kama atarudia jambo kama hilo tena....huku Uganda ikikaza kamba, Kenya inaendelea kuikazua. Hivi maajuzi mwandishi maarufu nchini humo kwa jina Binyavanga alijitokeza kweupe mbele ya waandishi wa habari na kudai kuwa hakuna mungu na haamini makanisa yeyote nchini.
Baadhi ya mashoga wengine waliojitokeza live ni ikiwemo msanii wa Injili kwa jiina Joji Baro ambaye pia ni mmoja wa kundi hilo.
Kanisa hilo kwa sasa linaaminika kuwa na wafuasi zaidi ya 125 na wameamua kuwa hivi karibuni watalipuka na kusambaa nchi nzima kwa ujumla. Uhisani wa kanisa hilo na kueneza ushoga unatoka nchini Norway.

Kanisa La Mashoga Nchini Kenya Lamulikwa!!!
Reviewed by Admin
on
Sunday, March 02, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano