50 Cent amechukizwa na mahasimu wake wa ngoma za rap na kuamua kufichua mambo yanayoendelea kwa baadhi ya mastaa watajika.
Kwa kupitia mtandao wake wa Instagram, staa huyu aliweka picha inayowaonyesha Rick Ross, P Diddy na Steve Stout katika sura isiopendeza ya kuashiria mapenzi ya jinsia moja.
Katika picha mbili alizoziweka 50 Cent zimemuonyesha P Diddy katika sheti ya pinki akikumbatiwa na Steve Stout ambaye pia alikuwa na sheti ya pinki. Picha nyingine imemuonyesha P Diddy akiashiria tendo la kumbusu Rick Ross kwa upande fulani wa kamera.
Katika picha hio aliambatanisha na maneno haya:
Muda mfupi baadaye 50 Cent aliweza kuifuta post hio......
LMAO
Kwa kupitia mtandao wake wa Instagram, staa huyu aliweka picha inayowaonyesha Rick Ross, P Diddy na Steve Stout katika sura isiopendeza ya kuashiria mapenzi ya jinsia moja.
Katika picha mbili alizoziweka 50 Cent zimemuonyesha P Diddy katika sheti ya pinki akikumbatiwa na Steve Stout ambaye pia alikuwa na sheti ya pinki. Picha nyingine imemuonyesha P Diddy akiashiria tendo la kumbusu Rick Ross kwa upande fulani wa kamera.
Katika picha hio aliambatanisha na maneno haya:
"I
ain't saying nothing, but something ain't right. Lmao." - See more at:
http://www.thehollywoodgossip.com/2014/03/50-cent-says-diddy-rick-ross-instagram-pics-yanked/#sthash.uHy6KWA7.dpuf

"I ain't saying nothing, but something ain't right. Lmao."Muda mfupi baadaye 50 Cent aliweza kuifuta post hio......
LMAO
50 Cent: "P. Diddy, Rick Ross Na Steve Stout Wote Ni Mashoga"
Reviewed by Admin
on
Tuesday, March 04, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano