Unordered List

Definition List

Lulu Michael ametokezea katika gazeti la Vibe mwezi Aprili, na kama kawaida chanda chema hakikosi doa, staa huyu amepondwa kuhusu pozi alilopiga katika gazeti hilo.

Jambo kama hili ni kawaida kwa mastaa kupondwa baada ya kuonekana katika magazeti maarufu. Tukio la mwisho likiwa la staa wa Marekani Kim Kardashian

Gazeti la vibe lishawahi kuchapisha picha za mastaa kama vile Wema Sepetu, Diamond Platinumz.

Lulu inasemekana ameiba pozi kutoka kwa Rihanna, jambo Lulu hakulichukulia kwa urahisi na aliingia kwa mtandao wa Instagram na kuwalisha makavu wote wanaomponda.


Lulu alikuwa na maneno haya ya kusema:
"Doh naona imekuwa TOPIC ila sishangai Nina hiyo damu ya kufanya kitu na kikawa gumzoooo...!nadhani kitu kimoja watu hamuelewi Ku Copy na Ku Paste huko mnakosema nyinyi cdhani Kama mnakuelewa...!hapa kilichofanana ni idea only not otherwise...!n ofcoz dunia tunayoishi hakuna kitu kipya ni vitu vile vile ila vinafanyika kwa namna ya tofauti....majadiliano hayakuwa mabaya coz ndo inamaanisha habari imefika vilivyo....nimejaribu kuiweka clear mana watu mpk vidole vinakaribia kupata sugu kwa kuandika comment hehehe...!tuachane na hayo ila dada @badgalriri dah nimekukimbiza kwa mbali heheheh.... @badgalriri@badgalriri @badgalriri @badgalriri @badgalriri@badgalriri ��������nione basi������....haya namalizia Kama bdo hutaki kukubaliana na maelezo yangu njia hii apa������������������������������������������������������������������Haina mafuriko,madimbwi wala foleni....kweupeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!��Nawapenda lkn��"
Reviewed by Admin on Monday, March 31, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.