Unordered List

Definition List

NISHA: Nimepata Mume Ndotoni..!!

NISHA

HAYA mapya! Bidada anayefanya sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ametoa kali ya mwaka baada ya kutangaza kupata mume ndotoni na kusambaza kadi za mwaliko wa harusi yake kupitia mitandao ya kijamii.

Stori Mix ilishuhudia kadi hiyo (cheki picha), likaona isiwe kesi, likamvutia waya ambapo alifafanua: “Ni maajabu aisee! Ni ndoto ya kushangaza sana. Yaani nimeolewa na  mwanaume mzuri sana, mweusi mrefu, ana pua ya kuchongoka. Kiukweli amenivutia sana.

“Cha kushangaza sasa, baada ya shughuli kuisha watu wakagoma kuondoka wakidai eti wamehamia hapohapo ukumbini.

Nilivyoshtuka nilichukia sana, nilitamani iwe kweli, ndiyo maana nikaamua kuweka hiyo kadi, nikialika watu waje kwenye harusi yangu Agosti 28, mwaka huu.”
NISHA: Nimepata Mume Ndotoni..!! NISHA: Nimepata Mume Ndotoni..!! Reviewed by Admin on Thursday, March 13, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.