Unordered List

Definition List

Katy Perry: Busu La Miley Cyrus Halikunipendeza!!

Katy Perry anaweza kuwa mwanamziki anayependa mambo kadhaa ya kujaribu lakini hakuwa na msisimko asilimia 100 wakati alipoliwa mate na Miley Cyrus.

Akihojiwa na kipindi kimoja cha redio cha mahojiano, Katy Perry alidai kuwa lile busu la Katy Pery-Miley Cyrus lilikuja tu na hakuwa na matarajio kama ingekuwa vile iliyofanyika. Anaikumbukaje?

"Nilikuwa kama kawaida namwendea Miley kumpiga busu kama tu mwanadada mwenzangu lakini Miley alivuka mipaka."
Miley Cyrus Akimla Mate Katy Perry

Cheki video ya Miley Cyrus Akimla Mate Fan Wake Chini Ya Jukwaa

Halafu alisogeza kichwa chake karibu yangu na kuuingiza ulimi wake zaidi. Mungu pekee ndio anajua ulimi ule uliingia hadi wapi." Katy Perry Alifunguka.

So, kiufupi Katy Perry hakupenda busu lile ndio maana alirusha picha nyingine kuashiria hakupendezwa.


Katy Perry: Busu La Miley Cyrus Halikunipendeza!! Katy Perry: Busu La Miley Cyrus Halikunipendeza!! Reviewed by Admin on Thursday, March 06, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.