Unordered List

Definition List

Miley Cyrus Amla Mate Katy Perry, Malkia Wa Tweeter Aashindwa Kuvumilia

Tumechoka kuangalia picha za Miley Cyrus akiwa uchi kila wakati!!!

Mwanadada huyu nadhani aliskia kilio cha wengi kuwa watu wamechoshwa kumuona yeye akiwa uchi kila wakati na jambo hilo limemfanya kutafuta mambo mengine...

....na mambo yenyewe sikuanza kusoma biblia wala nini lakini ni kujeuza mtindo.

Staa huyu wa nyimbo ya 'Adore You' ameamua kumla mate Katy Perry hadharani.

Tukio hili lilijiri wakati wa shoo flani Jumamosi  Los Angeles na mbele ya hadhira Miley Cyrus aliweza kumla mate malkia wa Tweeter Katy Perry.

Cheki picha yenyewe Miley aliyoirusha kwa mtandao wa Twitter...


Ok pia hio ni ajab ikionyesha wawili hao wakilana mate? Hapo sijui

Baada ya hio picha Katy Perry aliingia kwa mtandao wa Instagram na kurusha picha yake ikimuonyesha tukio baada ya hio kiss...lakini kwa umakini ni kuwa Malkia wa Twitter hakufurahia kabisa na hicho kitendo.

Cheki picha yenyewe...
Ok haijabainika kama Katy alikuwa anamwonyesha Miley kuwa hakupendelea kitendo hicho sababu baada ya kuweka picha hio mwanadada huyo aliweka maneno haya: "And after! I adore you @Miley Cyrus."

Hio kiss imeashiria kuwa kuna makubaliano flani kwa wawili hao. Mwanzo ushawahi kuona kifua cha Katy Perry? Ndio maana Miley alichizika na kumkimbia Katy kumla mate.

Muda huu mwanadada Miley anagonga vichwa vya habari kwa msururu wake wa concerts ya Bangerz tour ambayo anatarajiwa kuzuru sehemu kadhaa ulimwenguni




Miley Cyrus Amla Mate Katy Perry, Malkia Wa Tweeter Aashindwa Kuvumilia Miley Cyrus Amla Mate Katy Perry, Malkia Wa Tweeter Aashindwa Kuvumilia Reviewed by Admin on Monday, February 24, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.