Unordered List

Definition List

Kutana Na Mwanamke Ambaye Yuko Allergic Na Maji: Hawezi Kuyagusa

Ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni. Huku wengine wakiyakataa maji, wengine wanayatamani kuyagusa lakini yatawaletea madhara.

Mwanadada Rachel Prince mwenye umri wa miaka 26 ameumbwa na tatizo moja tu...hawezi kugusa maji na akiyakusa tu atasikia kama mwili wake unachomeka.

Ugonjwa huu ambao unasemekana kuitwa Aquagenic pruritus ni ugonjwa/allergy ambayo humfanya mtu kushikwa na reaction wakati mtu anapogusa maji.

Mwanadada huyu kutoka Ripley, Derbyshire anadai kuwa amechoshwa maisha ya upweke kukaa nyumbani akihofia kuguswa na maji. Na iwapo angetoka nje basi ingembidi yeye kutembea na mwavuli wakati wowote.

Kulingana na taasisi ya British Association of Dermatologists, hawajui ni watu wangapi ulimwenguni wanaugua ugonjwa huu usiokuwa wa kawaida.


Kutana Na Mwanamke Ambaye Yuko Allergic Na Maji: Hawezi Kuyagusa Kutana Na Mwanamke Ambaye Yuko Allergic Na Maji: Hawezi Kuyagusa Reviewed by Admin on Thursday, February 20, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.