Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Topless Katika #TBT

Kim Kardashian siku hizi amekuwa staa wa kuboesha tangu aanze uhusiano wake na Kanye West. Staa huyu wa kipindi cha Keeping Up With The Kardashian ni mwanadada ambaye umaarufu wake aliupata kwa kutoa video ya ngono. Sasa ameanza kukumbuka zile zamani za kale alipokuwa akiupigania umaarufu.


Kupitia kwa blog yake ameamua kupiga picha bila kuvalia sidiria na kuweka neno "calendar glam"

Katika msururu wake wa Throw Back Thurday, Kim hupeperusha picha zake za zamani kwa mafans wake na hii imeanza kuwa dalili kuwa kuna picha nyingi kama hizi kufuata.

Tegea mumu humu kwa mapya kuhusu mwanadada huyu ambaye tayari tusharusha picha hot akiwa amevalia bikini.


Kim Kardashian Topless Katika #TBT Kim Kardashian Topless Katika #TBT Reviewed by Admin on Friday, February 07, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.