Unordered List

Definition List

Rihanna Katika Birthday Yake. Ametimia 26!!! (PICHA)

Msanii mwenye sauti ya kutoa nyoka pangoni na pia amepinga kuwa ana mahusiano na Drake Rihanna Fenty ametimia miaka 26.

Mwanadada huyu wa nyimbo ya 'Man Down' aliweza kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake jana na aliweza kurusha picha kwa mtandao zilimuonyesha msanii huyu akiwa na tabasamu kuu.

Hakuna mtu aliyetarajia kuona picha za rihanna za uchi siku kama hii kubwa kwake

 

Katika sherehe hio Rihanna aliweza kuwaalika marafiki zake wa karibu kusherehekea pamoja.
Rihanna Katika Birthday Yake. Ametimia 26!!! (PICHA) Rihanna Katika Birthday Yake. Ametimia 26!!! (PICHA) Reviewed by Admin on Friday, February 21, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.