Unordered List

Definition List

Jombi Aliyejaribu Kufanya Ngono Na Maiti Asinzia Kabla Tendo Juu Ya Jeneza

Jamaa aliyejaribu kufanya ngono na maiti ajikuta pabaya baada ya kunaswa na polisi juu ya jeneza akiwa amelala. Tukio hili lilijiri nchini Cambodia na polisi walidhibitisha kisa hicho.

Jamaa huyo mwenye miaka 47 kwa jina Chin Chean, alinaswa na wanakijiji baada ya mmoja kuona mguu ukinin'gia kutoka kwa kaburi na kuenda kutoa taarifa kwa familia ya mwendazake.

Chin Chean aliwaambia polisi kuwa alianza kuchimbua kaburi hilo usiku wa saa nne siku ya baada ya mazishi ya mwendazake mwanadada mwenye miaka 17 kukamilika. Kulingana na gazeti la Cambodia Daily, inasemekana jamaa huyo baada ya kulichimbua hilo kaburi alifanikiwa kulifungua. Lakini jamaa huyo aliwaambia polisi kuwa baada ya kujaribu kufanya ngono na mwendazake alishindwa kwa sababu jeneza lilikuwa dogo mno kwake.

Alikiri kuwa aliweza kulemewa na usingizi juu ya maiti hio. Wanakijiji waliweza kuona mguu ukininginia ndipo wakaamua kuarifu polisi doria kuhusu swala hilo.

Mr Vutha, polisi anayeshughulikia kesi hii anadai jamaa huyu ni mwathiriwa wa dawa za kulevya na anajulikana kufanya mambo ambayo yanakiuka maadili ya kibinadamu.
Jombi Aliyejaribu Kufanya Ngono Na Maiti Asinzia Kabla Tendo Juu Ya Jeneza Jombi Aliyejaribu Kufanya Ngono Na Maiti Asinzia Kabla Tendo Juu Ya Jeneza Reviewed by Admin on Wednesday, February 26, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.