Unordered List

Definition List

Vazi La Utata La Lulu Michael Lililojeuka Gumzo Mitaani


Mwanadada Lulu Michael ambaye pia ni staa katika Bongo Movies ni mwanamke anayependa kupiga picha mara kwa mara huku akionyesha style mpya ya nguo zake ama mtindo mpya wa nywele zake.

Staa huyu ambaye anapendwa na wengi wakati huu ameamua kuingia na style mpya kabisa. Ameamua kuonyesha ulimwengu kuwa anaweza kuvaa nguo za tetesi hata kuishinda ile nguo ya Wema Sepetu ya nusu uchi. Lulu ameamua kuvaa nguo isiohitaji kuvaa chupi na inaonyesha sehemu zote kuanzia mapajani hadi karibu na kwa matiti sehemu za upande. Hebu cheki vazi lenyewe hapo chini:


Vazi La Utata La Lulu Michael Lililojeuka Gumzo Mitaani Vazi La Utata La Lulu Michael Lililojeuka Gumzo Mitaani Reviewed by Admin on Monday, February 03, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.