Unordered List

Definition List

Kardashians Kover Notebook Killer Kurves?!?

Familia ya Kardashian inajulikana zaidi ulimwenguni kuliko familia yeyote.

Lakini watu wengu wanapenda kuipa hadhira kuu familia hii kiasi cha kuwapa sifa nyingine zisizowafaa. Katika gazeti jipya la Notebook, Khloe, Kim na Kourtney wamewekwa katika kava ya nje na maneno "Style icons with Killer Curves".


Sijui killer curves hapo ndizo zipi maana ukiangalia vizuri utaona picha za madada hao zimefanywa photo editing katika tarakilishi. Ukiangalia vizuri utamwona Khloe amefanywa kuwa na shingo ndefu na miguu yake imeumbwa kiasi cha kuwa inamtoa tofauti kabisa.


Kardashians Kover Notebook Killer Kurves?!? Kardashians Kover Notebook Killer Kurves?!? Reviewed by Admin on Thursday, February 13, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.