Unordered List

Definition List

Uvumi Kuwa Kim Kardashian Alifanya Upasuaji Wa Makalio Ni Kweli? Cheki Picha

Uvumi unaoenezwa na wataalamu katika maswala ya upasuaji na urembo wa mwili wa mwanadamu wamedai kuwa Kim Kardashian alifanya upasuaji wa makalio yake kuyapa shepu. Jambo ambalo Kim Kardashian anapinga kwa nguvu zake zote.

Wataalamu hao wanadai Kim Kardashian ameongezeka mara dufu katika sehemu zake za makalio ukilinganisha na zamani.

Cheki baadhi ya picha za staa huyu anayetamba katika kipindi cha Keeping Up With The Kardashian.



 


Uvumi Kuwa Kim Kardashian Alifanya Upasuaji Wa Makalio Ni Kweli? Cheki Picha Uvumi Kuwa Kim Kardashian Alifanya Upasuaji Wa Makalio Ni Kweli? Cheki Picha Reviewed by Admin on Thursday, February 13, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.