Unordered List

Definition List

Aunty Lulu Anaswa Katika Tendo La Kidovidovi

Umekuwa mrefu tangu mwanadada Aunty Lulu kumulikwa na makazeti ya udaku. Tukio la mwisho ni lile la kuwa Aunty Lulu amepachikwa mimba na ya miezi kadhaa. Sasa ameingia tena katika mwangaza wa vyombo vya udaku na round hii amenaswa live akiwa katika malovidovi.

Na nani?

Staa huyu amenaswa live na mchezaji mkongwe wa zamani wa soka kwa jina Amani Simba. Wawili hao walibambwa kwenye ufukwe wa Coco, Oysterbay jijini Dar wakipunga upepo na walipowaona mapaparazi walishituka na kutaka kujificha.

Akizungumzia uhusiano wake na Amani, Aunty Lulu alisema: ”Jamani acheni udaku wenu, siku hizi nimetulia na huyu ndiye mchumba wangu, nampenda sana na yeye hivyohivyo.”
Hata hivyo, chanzo makini kilicho karibu na wawili hao kimedai kwamba kwa sasa wanaishi pamoja.
Aunty Lulu Anaswa Katika Tendo La Kidovidovi Aunty Lulu Anaswa Katika Tendo La Kidovidovi Reviewed by Admin on Friday, February 14, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.