Unordered List

Definition List

Jamaa Apika Nyeti Zake Na Kuziuza $250 Kwa Wateja

Jombi aliyeamua kuzitoa nyeti zake kupitia upasuaji ameamua kuzipika na kuziuza katika party ambayo ilihudhuriwa na watu kadhaa. Mao Sugiyana, 22 ambaye hataki jinsia yeyote aliamua kuchukua nyeti zake kutoka hospitalini baada ya upasuaji zikiwemo pumbu, kigozi na chombo chenyewe hadi nyumbani kwake.

Badala ya kuzitupa aliamua kuzifanya kitoweo kwa wale watakao kubali kula na aliingia kwa mtandao wa Twitter kufanya mnada wa kuuza vyombo vyake kwa gharama ya euro 800 na baada ya kupiga hesabu aliamua kuuza nyeti hizo kwa watu watano huku gharama ikigawanywa nusu kwa nusu.

Jamaa huyo kushawishi wateja alijieleza kuwa yeye ni mjapani na hajawahi kushikwa na magonjwa yeyote ya zinaa na wala hajawahi kujaribu kuwekewa homoni za kumfanya awe na jinsia ya uke.

Ushawishi wake uliweza kuvutia watu 70 kwa tukio hilo na watu 6 walibahatika kula nyeti za mwanamume huyo na kudai zilikuwa hazina ladha na zilikuwa zinatafunika kama godoro.

Mmoja ambaye alifanikiwa kula nyeti hio aliingia katika blog yake na kudai kuwa "Hili ni tukio ambalo halitawahi kutokea tena so nimeamua kuchukua nafasi hii kula nyeti hizi bila wasiwasi.

Jamaa huyo aliongezea kuwa yeyote atakae patwa na usumbufu baada ya kula nyeti hizo basi atagharamika matibabu yote yatakayotokea.
Jamaa Apika Nyeti Zake Na Kuziuza $250 Kwa Wateja Jamaa Apika Nyeti Zake Na Kuziuza $250 Kwa Wateja Reviewed by Admin on Thursday, February 13, 2014 Rating: 5

1 comment:

  1. jameni mbona utu umetutoka sisi wanadamu? Badala ya nyama ya wanyama 2megeukia viungo vya wanadamu wenzetu makubwa haya!!

    ReplyDelete

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.