Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Katika Picha Za Ushawishi Za #TBT

Mafans wa Kim Kardashian wameanza kufuatilia misururu ya ushawishi ya #Through Back Thursday ya mwanadada huyu. Wiki iliyopida staa huyu ambaye mchumba wake ni Kanye West aliweza kutupa picha kwa mtandao akiwa hajavalia sidiria....

Wiki hii ameweka picha ya ushawishi akiwa amevalia nguo za kizamani...Nawezasema Kim anavutia akiwa hajavalia chochote.

Kim Kardashian ni mwanadada anayependwa kukumbwa na tetesi hasa kuuhusu mwili wake kuwa anatumia picha za udanganyifu kwa kuuonyesha kuwa umbo lake ni lakuvutia. Tukio la mwisho ni lile chapisho la jarida la Notebook ambalo kwa uwazi limeonyesha udanganyifu kutumika.

Lakini relax, hebu pitia picha 21 zikimuonyesha Kim Kardashian katika bikini

Kim Kardashian Katika Picha Za Ushawishi Za #TBT Kim Kardashian Katika Picha Za Ushawishi Za #TBT Reviewed by Admin on Friday, February 14, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.