Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Na Kanye West Kufanya Harusi Mwezi Mei?

Hayawi hayawi huwa. Kila siku tunasogea kufikia siku ya harusi ya wawili hawa.

Wiki chache wawili hawa walipotembelea nchini France kulizuka uvumi mkuu kuwa wawili hao watafanya ndoa ya katika jumba la kifahari la Varsailles.

Sahizi stori ni kuwa wawili hao sasa watafanya harusi yao mwezi wa Mei.

Halafu inasemekana kuwa mtoto wao North West atachangia pakubwa katika harusi hio. Chanzo flani kimeongea.

Tutatarajia makubwa ambayo yatafanyika kabla ndoa ya wawili hao kufanywa rasmi. Halafu kuhusu ndoa yao kufanywa jijini Paris Kim aligusia mwala hilo kuwa kuna uwezekano mkuu.

Kanye West anasisitiza kuwa ndoa yao wanaitaka iwe kubwa na ya kifahari kuliko zote ambazo zishawahi kufanyika.

Mwaka jana Kanye West alimpigia magoti Kim Kardashian akimuomba amuoe.
Kim Kardashian Na Kanye West Kufanya Harusi Mwezi Mei? Kim Kardashian Na Kanye West Kufanya Harusi Mwezi Mei? Reviewed by Admin on Friday, February 07, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.