Unordered List

Definition List

Maheeda Atupia Picha Nyingine Kwa Mtandao!!!

Relax najua umeingia fasta ili kuangalia staa huyu akionyesha maungo yake ya mwili. Umekosea. Mwananadada huyu round hii ameamua kutupia picha za 'heshima'. Akiwa amevalia nguo 'zilizomziba' sehemu zake za mwili.

Staa huyu ambaye mwanzoni alikuwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anajulikana kupiga picha za utupu ovyo na ashawahi kupigwa marufuku mtandao wa Instagram kwa kukosa adabu kwa kupiga picha za utupu zisizokuwa na heshima.

Hivi karibuni mwezi wa Disemba staa huyu alifungiwa maombi ya laana na mapasta wa Nigeria baada ya kutupa video ya chrismas card ya utupu

Vituko vya staa huyo havikuishia hapo kwani majuzi tu aliamua kupiga picha akiwa akifanya tendo la kupiga punyeto.

Katika picha alizozirusha kwa mtandao, mwanadada huyu ameonekana akiwa amevalia nguo za 'heshima'. Cheki hapo chini:
http://distilleryimage7.ak.instagram.com/bc9e604c8e2511e381fb12efd60305df_8.jpghttp://distilleryimage0.ak.instagram.com/05b8716c8e2311e3b825122510c6161c_8.jpg 
http://distilleryimage4.ak.instagram.com/0e98f0a08e2211e38ccc125105f263a4_8.jpghttp://distilleryimage3.ak.instagram.com/78e8af228e2211e3bf0d0e1dabfc2fb7_8.jpg 
Lakini kabla hajamaliza kupiga picha za 'heshima' mwanadada huyu aliingiwa na jini la utupu na kumkumbusha mambo yake ya zamani...picha za utupu.
Kwani ni nani angelimjua Maheeda kama si picha zake za utupu?!? Enjoy...
http://distilleryimage11.ak.instagram.com/36b36fb68e2211e3aa9712d94378cda3_8.jpghttp://distilleryimage9.ak.instagram.com/b1acbd268e2211e3a50a0eb316d7d585_8.jpg
http://distilleryimage2.ak.instagram.com/6a02a8b08e2111e3b97812add123cffe_8.jpghttp://distilleryimage4.ak.instagram.com/14b0f9348e2111e3bf01128d86d26cdc_8.jpg
Maheeda Atupia Picha Nyingine Kwa Mtandao!!! Maheeda Atupia Picha Nyingine Kwa Mtandao!!! Reviewed by Admin on Thursday, February 06, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.