Unordered List

Definition List

Irene Uwoya Ajianika Akipigwa Massage Kwa Kukandwa Mgongo

MAKUBWA! staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amejianika akifanyiwa masaji laivu. Wolper a.k.a Gambe ‘alifanya yake’ ndani ya saluni (massage parlor) moja iliyopo maeneo ya Mwenge jijini Dar. Mara baada ya tukio hilo huku akiwa ‘amefotolewa mapicha’ ambayo aliyatundika kwenye ukurasa wake wa Instagram, mwanadada huyo alielezea jinsi alivyohisi raha ya ajabu wakati akifanyiwa masaji.

“Asante…(akitaja jina la saluni), kwa raha niliyopata leo…, mi siyo mchoyo kwa kweli karibuni nanyi mpate afya. Nimefurahia walah,” aliandika Wolper. Hata hivyo, tukio hilo liligeuka gumzo huku baadhi ya mashabiki wakimsifia na wengine wakimponda.
Irene Uwoya Ajianika Akipigwa Massage Kwa Kukandwa Mgongo Irene Uwoya Ajianika Akipigwa Massage Kwa Kukandwa Mgongo Reviewed by Admin on Monday, February 24, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.