Unordered List

Definition List

Kuwa Wa Kwanza Kusikiliza Remix Ya 'Drunk In Love' Kanye West Akimsifu Kim Kardashian

Kama watarajia video ya ngono ya Kim Kardashian na Kanye West basi itakubidi ungojee kwa muda maana kuna mambo mengine wawili hao wanafanya kwa sasa.

Ok msanii Kanye West anampenda Kim Kardashian kiasi cha kuwa ameweza kumtolea remix ya nyimbo ya 'Drunk In Love'.Kweli msanii huyu ameonyesha mapenzi haswa baada ya kumpatia Valentine gift ya ajab Kim Kardashian

Msanii huyu ambaye pia ameapa kuwa yeye na Kim watawapiku Jay Z na Beyonce kwa uwaarufu wa wanandoa ameweza kumsifia Kim Kardashian kwa kumwambia kuwa amemrushia kitu kwa mdomo ndio akampenda.

Sikiliza remix yenyewe hapo chini:


Kanye West Amerap Kumhusu Kim Kardashian

Kuwa Wa Kwanza Kusikiliza Remix Ya 'Drunk In Love' Kanye West Akimsifu Kim Kardashian Kuwa Wa Kwanza Kusikiliza Remix Ya 'Drunk In Love' Kanye West Akimsifu Kim Kardashian Reviewed by Admin on Monday, February 17, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.