Unordered List

Definition List

PICHA: Zaidi Ya Waogeleaji 700 Wajitokeza Uchi Mnyama Katika Bahari Ya Tasman

Zaidi ya waogeleaji 700 walijitokeza kuogelea wakiwa uchi utupu sehemu ya Sydney Habour bahari ya Tasman. Waogeleaji hawa wamejitokeza kuchanga pesa za matumizi ya kuipanua sehemu ya mapumziko ya Sydney Habour Natural Park. Tukio hili linaaminika kuwa kubwa ulimwenguni mzima ambapo waogeleaji uchi hukusanyika kujienjoy.

Baadhi ya picha...

PICHA: Zaidi Ya Waogeleaji 700 Wajitokeza Uchi Mnyama Katika Bahari Ya Tasman PICHA: Zaidi Ya Waogeleaji 700 Wajitokeza Uchi Mnyama Katika Bahari Ya Tasman Reviewed by Admin on Wednesday, February 26, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.