Unordered List

Definition List

Pipi Ajifungua Mtoto Wa Pili (PICHA)

Jana ni siku ya furaha sana kwa Mrs Lucas Zuria au unaweza kumwita mama King Stone au wengi wanamwita Pipi jina ambalo alianzia nalo mziki wakati akiwa pale THT. Usiku huu mungu amemjalia amejifungua salama mtoto wa kiume na kuongeza familia yenye watoto wawili wa kiume. Katika account yake ya Instagram na Facebook ameandika status nzuri huku akimwonyesha mtoto huyo mpya kama umwonavyo kwenye picha.

pipi

“Nina furaha mpaka sijui nisemeje maana naweza nikaandika essay hapa lakini kwa ufupi tu…namshukuru mungu kwa kunipa nguvu…uhai…na mume wangu kipenzi kwa kunipa ujasiri wa kuleta jembe la pili…Asset kubwa kuliko zote duniani asikwambie mtu!!! Welcome to the family baby Brandon !!! #babynumber2″
Pipi Ajifungua Mtoto Wa Pili (PICHA) Pipi Ajifungua Mtoto Wa Pili (PICHA) Reviewed by Admin on Monday, February 03, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.