Unordered List

Definition List

Maisha Ya Diamond Platinumz Ya Kila Siku (PICHA)

Kama wewe unamshabikia Diamond Platinumz basi ungetamani hata kwa siku moja upate kuyajua maisha yake anavyoishi. Kusema kweli staa huyu anaishi maisha ya kitajiri. Hivi tu juzi aliashiria katika mtandao wa Instagram kuwa yeye si mtu wa kulengwa kwa manati, yeye ni mtu wa kupepea.

Picha 14 tulizozipata za msanii huyu akiwa katika ziara ya jumba analoishi kabla kuingia gym ni ishara tosha kuwa msanii huyu ana kipawa cha pesa. Cheki picha zenyewe hapo chini:













Maisha Ya Diamond Platinumz Ya Kila Siku (PICHA) Maisha Ya Diamond Platinumz Ya Kila Siku (PICHA) Reviewed by Admin on Wednesday, February 05, 2014 Rating: 5

2 comments:

  1. Huyo bwana mdogo yuko sawa, mimi sina shaka nae kwa kuwa mtu asiye na makuu. big up D.

    ReplyDelete

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.