Unordered List

Definition List

Wema Sepetu Na Diamond Platinumz Katika Picha (Latest)

Ule uvumi uliozagaa kuwa Diamond Platinumz ana kitu kipya ulikuwa ni wimbi la uvumi usiojulikana chanzo chake. Platinumz katika picha yake latest ya Instagram imewaonyesha wawili hao wakipiga pozi pamoja huku picha hio ikiwa na maneno 'Na Mshkaji' yaani mpenziwe Wema Sepetu.

Cheki picha yenyewe ya Instagram hapo chini:


Wema Sepetu Na Diamond Platinumz Katika Picha (Latest) Wema Sepetu Na Diamond Platinumz Katika Picha (Latest) Reviewed by Admin on Saturday, February 01, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.