Wadada wa Kenya Wapagawa na Six Packs za Diamond alipokuwa akiogelea katika Bwawa Moja Huko Nairobi alipoenda week iliyopita ..Wadada wengi walio kuwa wakishuhudia tukio hilo la kuogelea la diamond na wacheza show wake walisikika wakisema No wonder Diamond is Getting Fine Girls wa Kibongo....Na wengine wakimsifia jinsi alivyoumbika
Staa huyu bila shaka ni rahisi kuwazuzua madada wengi...mwanzo uliliona gazeti la Vibe lililompiga Diamond akiwa nusu uchi? Lazima demu yeyote azubae kwa muda na msanii huyu
Diamond Platinum Awazuzua Mamanzi Wa Nai Kwa 6 Packs Zake
Reviewed by Admin
on
Sunday, March 02, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano