Unordered List

Definition List

Recho Katika Pozi La Kimahaba Na Kajala Juniour

Recho ameamua kuacha tabia za kitoto.

Sahizi staa huyu ameanza kurusha picha akionyesha mambo ya kiutu ukubwa. Na baada ya kuonyesha tatoo yake ya pajani, sasa ameanza kuonyesha picha akiwa na mpenzi wake akiwa na kiguo cha mitego, baadae naona atarusha picha ya........

Kabla hujaanza kufikiria mbali hebu cheki picha ya Recho akiwa na Kalala Juniour, pozi la kimapenzi.
Recho akiwa amebebwa na Kalala Junior

Hapa Recho ameonekana amevalia nguo ya kuvutia...kiujumla mdada huyo ni mrembo. Halafu kabarikiwa na kifua si haba. Waonaje hapo?
Recho Katika Pozi La Kimahaba Na Kajala Juniour Recho Katika Pozi La Kimahaba Na Kajala Juniour Reviewed by Admin on Monday, March 31, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.