Unordered List

Definition List

Miley Cyrus Awarushia Mate Mashabiki Wake

Yaani kidogo tu tufikirie mwandada huyu hawezi kutushtua tena na mambo yake basi ndipo anapozidi.

Tushamwona akila chupi ya shabiki wake, ashawahi kumla mate mwanadada nje ya jukwaa na pia ashawahi kuashiria ngono na sanamu ya Bill Clintonbila kusahau kuwa ashawahi kuingia jukwaa akiwa nusu uchi.

Round hii Miley Cyrus amekuja na mapya, kuwatemea mate mashabiki wake.

Staa huyu aliweza kunywa maji kutoka katika chupa halafu kuwarushia maji hayo kutoka kwa kinywa chake.

Natumai mashabiki wake walipotoka hapo walienda kuoga. Kama mara 6 hivi.

Cheki tukio lenyewe hapo chini.



Miley Cyrus Awarushia Mate Mashabiki Wake Miley Cyrus Awarushia Mate Mashabiki Wake Reviewed by Admin on Sunday, March 23, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.