Unordered List

Katy Perry Kwa Miley Cyrus: Nitakuchapa Makalio (Spank) Mpaka Ushangae

Definition List

Katy Perry ameamua kuwa atamchapa makalio Miley Cyrus.

Haya ni maneno yaliyotoka kwa Katy Perry na wala sijayatunga mimi. Staa huyu wa nyimbo E.T. ameamua kumjibu Miley Cyrus baada ya mvutano wa kimaneno. Perry ameamua kumhakikishia kuwa atampa chake Miley watakapokutana jijini UK.


Haya ndio maneno Katy Perry aliweza kumrushia Miley Cyrus: "Oooo gurrrl I'm gonna give you the BIGGEST spanking when I see you in the UK bb!"

Vitisho vya Katy Perry vilitokana baada ya Miley Cyrus siku ya Alhamisi kuanza kumrushia maneno kadhaa mwanadada huyu, baada ya kuhojiwa na kituo cha habari nchini Australia.

Nilikuwa kama kawaida namwendea Miley kumpiga busu kama tu mwanadada mwenzangu lakini Miley alivuka mipaka."
 
"Halafu alisogeza kichwa chake karibu yangu na kuuingiza ulimi wake zaidi. Mungu pekee ndio anajua ulimi ule uliingia hadi wapi."

Kweli Katy Perry alikuwa akijitetea? Jambo hili halikumridhisha Miley Cyrus na aliamua kumpa chake...

Alianza kwa kumuinjoy kwa yeye kuachana na mpenziwe John Mayer,
"Girl if ur worried abt where tongues have been good thing ur ex boo is ur EX BOO cause we ALL know where THAT been,"

Halafu akaweka picha hio hapo juu iliyochorwa na fan wake mmoja na akaweka maneno 'usijifanye kama hukulipenda hilo busu.'
"Dontchyouuuu act like you didn't lurvvvvv it."

Haijulikani kama alipenda....ama hakuipenda.

Tunachongojea sasa ni kuona wawili hawa wakipigana makalio tu! 
 
Anyway hakuna bifu kati yao, ni urafiki tu wa wanawake.
Katy Perry Kwa Miley Cyrus: Nitakuchapa Makalio (Spank) Mpaka Ushangae Katy Perry Kwa Miley Cyrus: Nitakuchapa Makalio (Spank) Mpaka Ushangae Reviewed by Admin on Friday, March 07, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.