Unordered List

Definition List

Maajabu!!! Miley Cyrus Kwa Mara Ya Kwanza Avalia Nguo Za Heshima

Habari mpya katika blog yetu: Miley Cyrus amevalia nguo mwili mzima!!!!

Staa huyu ambaye alivumbua mchezo wa kudengua makalio a.k.a Twerking amepiga picha akiwa katika fashion kutangaza nguo na Marc Jacobs. Mtindo wenyewe ni aina ya nguo ambazo zikiwemo sketi na design nyingine (sifahamu sana mambo na fasheni)

...lakini hebu cheki picha zenyewe hapo chini:

"Sote tunampenda Miley Cyrus na vile alivyo, ubunifu, ujanja, na kila kitu chake." Jacob aliongea. "Hakuna kitu nisichokipenda kutoka kwake, Miley ni genius na amezaliwa na talanta naturally."

ok! Miley wiki iliyopita amekuwa akikumbwa na sarakasi ambazo hazihusiani na fashion.

Aliweza kumbusu Katy Perry wakati wa tour yake kule Los Angeles, na hivi karibuni akishikwa na Katy ameapa atamchapa makalio yake
Maajabu!!! Miley Cyrus Kwa Mara Ya Kwanza Avalia Nguo Za Heshima Maajabu!!! Miley Cyrus Kwa Mara Ya Kwanza Avalia Nguo Za Heshima Reviewed by Admin on Monday, March 10, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.