Unordered List

Definition List

Agness Masogange Awakumbuka Mafans Wake Kwa Picha

Agness Masogange si mwigizaji wa Bongo Movies ambaye si binadamu wa kawaida.

Sijamaanisha kuwa ana maumbile yasiyo ya kawaida kama wale wanadada wenye matiti matatu bali namaanisha umbo lake ni umbo la kuvutia na la kuvuruga mtu yeyote atakaye liona.

Staa huyu anajivunia kuwa yeye ni miongoni mwa wanawake wa Bongo Movies wenye makalio makubwa na hata ashawahi kujipimisha makalio yake na Nisha na amedhihirisha kuwa yeye ni bingwa wa 'tasnia ya makalio'.

Katika picha latest alizozirusha kwa mtandao, mwanadada huyu anaendeleza kutimiza misururu ya kuwapatia mafans wake picha za makalio yake bila wasiwasi wowote.

Cheki picha zake latest:

Agness Masogange katika pozi
Akionyesha uwezo wake
Je staa huyu anaweza kushindana na yule mkenya anayedaiwa kuwa na makalio makubwa zaidi?
Agness Masogange Awakumbuka Mafans Wake Kwa Picha Agness Masogange Awakumbuka Mafans Wake Kwa Picha Reviewed by Admin on Friday, March 28, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.