Unordered List

Definition List

Jackline Wolper Na Penny Katika Pozi La Utata

Huku haikupita wiki kadhaa kabla Jackline Wolper kudai kuwa anakerwa na tetesi kuwa yeye ni msagaji, picha zilizotufikia katika blog yetu ya bkuHABARI zinaonyesha kuwa mwanadada huyu anapenda wanawake wenzake.
Ok picha hizi zinaweza kuonekana kama ni urafiki kati yake na Penny, lakini kwa mtazamo mzuri utaona kuwa picha hizi zina utata fulani.

Penny na Wolper hapa wameonekana wamelewa chakari lakini hebu....si ni kama nawaona wawili hawa wakijaribu kupeana busu!?
Poa hata kama wawili hawa wanaonyesha mambo haya kujiburisha tu si vizuri kurusha picha aina kama hizi kwa mitandao ya kijamii ili kila mtu aone. Enyewe hapa sioni jambo la kutatanisha kwa kushawahi kuwa na picha za Jackline Wolper akiwa nusu uchi, jambo ambalo watu washazoea.
Jackline Wolper Na Penny Katika Pozi La Utata Jackline Wolper Na Penny Katika Pozi La Utata Reviewed by Admin on Monday, March 31, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.