Unordered List

Definition List

Baby Madaha: Wasanii Maana Ya Bifu Hawaelewi Kabisa!

Baby Madaha kwa mara ya kwanza ajitokeza na kudai kuwa wasanii wa bongo hawaelewi maana ya kuwa na bifu. Msanii huyu wa bongo movies na flava anadai kuwa wasanii nchini bongo hawajui maana ya kuwa na bifu, na faida zake katika usanii kiujumla.

Huku akieleza kwa ufafanuzi, Baby Madaha alisema wasanii wanapaswa kuiga mifano ya wasanii wa nje, wanaotumia bifu kuongeza mkwanja na umaarufu pia.
“Hapa wanaendekeza majungu, wenzetu wakikosoana kimuziki, wanatengeneza kiki ya kibiashara na baadaye wanaitumia kuingiza chapaa, hawachukiani kutoka moyoni ila wanakosoana kiukweli,” alisema Baby.

Baadhi Ya Bifu za Wasanii Wa Bongo

Bifu kati ya Shilole na Wema Sepetu
Bifu la Clouds Media na Lady Jay Dee
Bifu la Mwana FA na Hermy B
Bifu la Diamond Platinumz na Baby Madaha
Bifu la Bonge La Nyau Na Diamond Platinumz
Bifu la Wema Sepetu Na Naima
Bifu la Jokate Na Wema Sepetu


Baby Madaha: Wasanii Maana Ya Bifu Hawaelewi Kabisa! Baby Madaha: Wasanii Maana Ya Bifu Hawaelewi Kabisa! Reviewed by Admin on Saturday, March 15, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.