Unordered List

Definition List

Justin Bieber Achora Tatoo Mpya!!!

Justin Bieber amechora tatoo mpya.

Msanii huyu ambaye anaaminika kuwa mwenye utata na msanii ambaye anamulikwa zaidi kupindukia na vyombo vya habari ameweza kurusha picha hii kwa mtandao wa Instagram jana akitumia akaunti ya Banksy, mchoraji mwenye asilia ya uingereza.

Katika picha hio aliambatanisha maneno haya: "Controversial @justinbieber #banksy."


Ushaziona tatoo zote za msanii Justin Bieber? Utashangaa sababu staa huyu nadhani hakupata ushauri naswaha wakati wa kujichora picha hizi.
Justin Bieber Achora Tatoo Mpya!!! Justin Bieber Achora Tatoo Mpya!!! Reviewed by Admin on Saturday, March 15, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.