Unordered List

Definition List

Huddah Monroe Achafuka Kwa Mtandao


Kila mtu atakubaliana na mimi kuwa Huddah Monroe ameishiwa na umaarufu...labda aanze tena kurusha picha za mitego.

Kama wiki mbili zilizopita hivi kulikuwa kumeenea uvumi kuwa Huddah Monroe amekuwa omba omba wa mtaa, madai ambayo hayajadhibitishwa.

Amejaribu kufanya kila awezavyo kuhakikisha amerudi kwa blogsphere lakini wapi! Nafasi yake sasa imechukuliwa na akila Linda Okello na akina Corazon Kwamboko ambao sahiz wamekuwa wakiukoroga mtandao mzima.

Hivi sasa Huddah jana aliingia kwa akaunti yake ya mtandaoni na kurusha picha ikimuonyesha viatu.


Baada ya hapo akarusha status ndefu huku akijieleza kuwa amebadilika na anashukuru nowadays kwa comments zake hapati status za matusi.

Hivi ndivyo alivyoambatanisha kwa picha yake:
Shoes:Angelo's . Tumiguuu :Huddah . Anyways ,let me start by saying that I love the fact that none of y'all hate on me these days coz actually u all realized there's nothing to hate on. Honest truth is , when people hate u it really affects u psychologically and emotionally, as much as We all act like hate doesn't affect us but it does in a major way ESP when it comes from people who don't know u personally . Every celebrity feels the pain of being hated on despite acting like we don't care , we actually do . We are all Humans and we all crave to be loved and praised not to be trolled and abused on a daily. I am always HAPPY nowadays when I see my comments section and can see that RESPECT is actually earned , same as love from total strangers . THANKS ALOT BOSSES! stay Blessed!

Baadhi ya wafuasi wake walianza kumponda:

Val Pidorri Isabel did u call yoself a celebrity pwahaha lol tryna hate
Milan Joan celebrity??????????lol
Livety Ditta U dnt nid peepz 2 validate u#GOD CREATED U VALID!!!

Huddah akachafuka kwa kuwatusi live baadhi ya mafans wake waliomponda:

Huddah Monroe The Boss Lady SI Ati sasa muanze kuhate. Hahahaha!
Huddah Monroe The Boss Lady You need to check your dictionary dear. I don't think u know the meaning of "Sophisticated"but oh well, atleast u know the Word Tashah Ule Mimmore
Huddah Monroe The Boss Lady Bitch please , who hurt you?Liz Shiks

Yupo mzima kweli huyu?
Huddah Monroe Achafuka Kwa Mtandao Huddah Monroe Achafuka Kwa Mtandao Reviewed by Admin on Saturday, June 07, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.