Unordered List

Definition List

Finally Diamond Platinumz Amepewa Verified Accont Kwa Twitter


Diamond Platinumz anazidi kumake headlines kila siku kwa shughli ambazo anaendelea kuzifanya ulimwengu mzima.

Staa huyu ambaye kabla kufanya shoo lazima umlipe mamilioni ya pesa, yuko mbioni kwa maandalizi ya MTV MaMas Awards nchini Sauzi bila kusahau BET Awards kule Marekani.

Kuonyesha kuwa amefika level ya kimataifa, akaunti ya Diamond Platinumz muda huu tunavyoongea imekuwa verified tangu siku ya jana 6 Juni, japo amechelewa kiasi nyuma ya msanii AY.
Cheki akaunti yenyewe hapa

Diamond anajishasha kuwa na wafuasi zaidi ya elfu 84.

Ametisha!
Finally Diamond Platinumz Amepewa Verified Accont Kwa Twitter Finally Diamond Platinumz Amepewa Verified Accont Kwa Twitter Reviewed by Admin on Saturday, June 07, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.