Linda Okello amekuwa akimake headlines kwa muda mrefu baada ya kupigwa picha akiwa na makalio makubwa katika sekta ya ulinzi jijini Nairobi.
Hii haikuridhisha wakubwa wake haswa baada ya kurusha picha za mitego kwa mtandao.
Sahizi 'staa' huyu amerudi tena kwa headlines kwa kuwa amepelekwa kotini kufuatilia madai ya kuwa kama polisi, alivalia nguo ambazo si za heshima kwa idara ya polisi.
Kulingana na kesi iliyopelekwa kotini ni kuwa iwapo Linda Okello atapatikana na hatia basi anaweza kufutwa kazi ama anaweza kushukishwa cheo ama zaidi kupelekwa kituo cha mbali zaidi na kile ambachi yuko sahizi.
Ingawa tetesi ni kuwa nguo ya minisketi aliyokuwa akiivaa linda alipewa akiw kazini, tetesi hio bado haijatiliwa mkazo.
Habari exclusive zilizofikia bkuHABARI ni kuwa kuna nguvu fulani ambazo zimeapa kumuangamiza Linda kikazi na kiumaarufu.
Linda Okello lakini hayuko tayari kuona ndoto yke ikididimia kwani tayari pia amepeleka malalamishi kotini kupinga madai yoyote kumhusu
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano